如无法下载或有错误,请刷新重试或点此
反馈 给我们
[03:28.00]Jux – Mapepe Lyrics.
[03:28.00]Verse:1
[03:28.00]Labda uliza moyo wangu
[03:28.00]Ndo umenifanya mi nifike mapema
[03:28.00]Mama uliza moyo wangu
[03:28.00]Unavyonitesa imenibidi kusema (Eeh)
[03:28.00]Pre-Chorus:
[03:28.00]Zamaaaani
[03:28.00]Toka zamani mama
[03:28.00]Nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
[03:28.00](Aaaah aaaah aaaaah) Usikatishe penzi ghafla
[03:28.00]Ndo kwanza penzi letu linanoga tu
[03:28.00]Kama shida wote tumepata
[03:28.00]Sasa unachokitaka unakipata boo
[03:28.00](Boooo Boooo) Usilikatishe penzi letu
[03:28.00]Maana kwanza linanoga tu
[03:28.00]Unachokitaka unakipata sasaa ?
[03:28.00]Chorus:
[03:28.00]Aaaaaaah mapepe ya nini ? Pepe
[03:28.00]mapepe ya nini ? Pepe
[03:28.00]mapepe ya nini ?
[03:28.00]Nishatulizana nawe punguza mapepe.
[03:28.00]Aaaaaaah mapepe ya nini ? Aah pepe
[03:28.00]mapepe ya nini ? Pepe
[03:28.00]mapepe ya nini ?
[03:28.00]Nishatulizana nawe punguza mapepe.
[03:28.00]Verse:2
[03:28.00]Mama serebu__
[03:28.00]African mama serebu__
[03:28.00]Mziki unamata shebeduka
[03:28.00]Napenda ile vidole uking’ata macho juu
[03:28.00]Yako thamani, Ni zaidi ya dhahabu
[03:28.00]Nafanya hisani, Usije pata tabu
[03:28.00]Pre-Chorus:
[03:28.00]Zamaaaani
[03:28.00]Toka zamani mama
[03:28.00]Nilikuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
[03:28.00](Aaaah aaaah aaaaah) Usikatishe penzi ghafla
[03:28.00]Ndo kwanza penzi letu linanoga tu
[03:28.00]Kama shida wote tumepata
[03:28.00]Sasa unachokitaka unakipata boo
[03:28.00](Boooo Boooo) Usilikatishe penzi letu
[03:28.00]Maana kwanza linanoga tu
[03:28.00]Unachokitaka unakipata sasaa ?
[03:28.00]Chorus:
[03:28.00]Aaaaaaah mapepe ya nini ? Pepe
[03:28.00]mapepe ya nini ? Pepe
[03:28.00]mapepe ya nini ?
[03:28.00]Nishatulizana nawe punguza mapepe.
[03:28.00]Aaaaaaah mapepe ya nini ? Aah pepe
[03:28.00]mapepe ya nini ? Pepe
[03:28.00]mapepe ya nini ?
[03:28.00]Nishatulizana nawe punguza mapepe.
[03:28.00]Outro:
[03:28.00]Acha iendee
[03:28.00]Acha iendee
[03:28.00]Punguza mapepe
展开